Tovuti 5 za kupakua eBooks bure

Utamaduni wa kujisomea vitabu kupitia simu au tablet unazidi kukua kwa kasi ambapo kwa vijana wengi imekuwa rahisi kupata vitabu bila gharama kubwa kutokana na ukweli kwamba bei ya vitabu vilivyochapishwa ziko juu sana na haziendani na hali ya maisha ya Mtanzania kwa sasa.

Hizi ni baadhi ya tovuti ambazo unaweza kupakua vitabu bure moja kwa moja kwenye simu au tablet yako.

1. Open Library

Kupitia Open Library unaweza kuchagua vitabu zaidi ya milioni 2 vya bure ukiwa pia na uwezo wa kuweka cha kwako bure. Ni nzuri kwa waandishi wa vitabu wanaotafuta jukwaa la kufahamika.

2. Project Gutenberg

Project Gutenberg ina vitabu zaidi ya 54,000 ikiongezea pia vitabu vya kusikiliza “audiobooks”.

3. eBook3000

Unatafuta sehemu ya kwenda kukoteza chochote unachokiona mbele yako bila mpangilio? eBook3000 ndio mahala pake kukiwa na mchanyato wa vitabu tofauti, kizuri zaidi ni kuwa huitaji kuwa mwanachama ili uweze kupakua vitabu

4. Digital Library

Vitabu takribani milioni 2 vinapatikana hapa. Ni wewe tu kuamua unapenda vilivyo katika kipengele gani kisha unapakua.

5. Free-eBooks.net

Kama unatafuta vitabu vilivyoandikwa kwa lugha mbalimbali tofauti hii inakufaa zaidi ikiwa na mkusanyiko wa vitu vizuri.

 

Liberation Through Reading

Source: Liberation through Reading

“A resourceful person can see opportunity when others only see obstacles.”
— Garrett Gunderson, Entrepreneur and Author

Throughout many previous blogposts I posted, I try to bring attention to the importance of reading especially among our children. I often say that it is a shame and unacceptable for our country to experience a rise in illiteracy rates, especially when we have access to a myriad of reading resources more than we ever had before.

Recently, I read a very disturbing report about the vanishing reading culture in Tanzania. Essentially, this is turning this country into a nation of illiterates. There is a growing concern that because the reading habits among children and adults are declining, this is creating civilization illiterates. There seems to be a lack of interest in reading books among children and adults. It is reported that many students waste an excessive amount of time on trivial things like exchanging mobile text messages instead of investing in reading. In the 1970’s Tanzania was known as one of the countries with the highest literacy rates in the world. Unfortunately, that rate of 96% has been falling and currently stands at 72%. Evidence of a nation of people who either fear books or hate reading rests in the hands and teaching of parents or guardians. This country is finding that they do not have the appropriate skills to run a successful business, because leadership among illiterates instills that fear in others.

This trend is not only occurring in Tanzania, but in many areas around the world. Illiteracy is a major threat to our economy and national security. Illiteracy stifles, destroys and oppresses. We do not want our nation to suffer a catastrophic drop in literacy rates as Tanzania. Let us continue to encourage reading and learning for children as well as adults. We cannot allow the inability to read keep us imprisoned in a dark hole of despair and bondage.