KUZALIWA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI

Title

KUZALIWA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI

Author: Alli A. Mohamed | Uploaded by: Ally Jumanne | 2nd July, 2017


Description

Kinaelezea namna chama cha mapinduzi kilivyoanzishwa, changamoto zilizopitiwa kwenye kuanzishwa kwa CCM na sababu ya kuanzishwa kwake. Kitabu hiki kimeandikwa mwaka 1979 ikiwa ni miaka 2 tu baada ya kuanzishwa kwa CCM hivyo basi kwa kiasi kikubwa kimeelezea mambo mengi kwa ufasaha na kwa kumbukumbu zaidi.